Hii ni sehemu ya mfululizo wa Aina za Urogwaji (Sehemu ya 2 kati ya 7). Soma makala zote ili kuelewa vizuri zaidi.
Aina ya Pili ya Mtu Aliyerogwa
Aina ya pili ya mtu aliyerogwa ni hali ya urogwaji inayoharibu maisha ya mtu hasa kwenye pesa na mahusiano, na husababisha kukosa utulivu wa maisha.
Unajiuliza:
- Nitafahamu vipi kama nimerogwa?
- Kwa nini mambo yangu hayaendi?
- Kwa nini uzazi wangu mgumu?
- Kwa nini mikosi haiishi?
Maelezo ya Aina Hii ya Urogwaji
Hii ni aina ya uchawi ambayo humvurugia mtu mifumo yake katika maeneo yafuatayo:
- Mfumo wa pesa
- Mfumo wa mapenzi
Maswali yanayojitokeza:
- Kwa nini kila ninayempenda hunisaliti?
- Kwa nini pesa zinayeyuka kama moto?
- Kwa nini nikishika pesa haikai?
- Kwa nini mapenzi yangu yana matatizo kila mara?
Soma pia: Aina ya Nne ya Mtu Aliyerogwa
Dalili Zake
- Kukosa muafaka na watu
- Kushindwa kuwa na marafiki
- Kuwa na roho mbaya
- Kuwa na tamaa ya zinaa kupitiliza
- Kukosa nguvu ya tendo la ndoa
- Kuota ndoto za mapenzi zisizo na maana
- Kujiona au kuona watu uchi
- Kujihisi uchovu mwingi asubuhi
- Kutokuwa na baraka katika maisha
- Ndoto zisizo na faida
- Kupata pesa kwa shida
- Kukata tamaa mara kwa mara
- Matatizo kuongezeka baada ya kupata kipato
Urogwaji huu huja kama ashiki ambapo mtu hujihisi fahari kupita kiasi na kuwadharau wengine.
Pia mtu huweza kuwa na maumivu ya kichwa, miguu au tumbo na matatizo ya uzazi bila sababu ya kisayansi.
Dalili Chache Zaidi
- Kuumwa kichwa
- Masikio kuvuma
- Kuwashwa mwili
- Kuhisi kuchanganyikiwa
Tiba
Muhanga anatakiwa kusafishwa kikamilifu ili kuondoa uchafu wa kiroho.
Kuombewa peke yake haitoshi, inahitaji matibabu ya kiroho pamoja na kuimarisha imani.
Baadhi ya tiba zinahitaji muda, hivyo mtu anaweza kuhitaji matibabu ya ziada.
Wasiliana nasi kwa msaada:
Chat WhatsApp: +255 788 485 293Email:
Rakims Spiritual
