Hii ni sehemu ya mfululizo wa Aina za Urogwaji (Sehemu ya 4 kati ya 7). Soma makala zote ili kuelewa vizuri zaidi.
Aina ya Nne ya Mtu Aliyerogwa
Aina ya nne ya mtu aliyerogwa ni hali ya urogwaji inayoharibu mfumo wa maisha ya mtu na kumfanya akose motisha, nguvu ya kufanya kazi na mwelekeo sahihi wa maisha.
Unajiuliza:
- Nitafahamu vipi kama nimerogwa?
- Kwa nini mambo yangu hayaendi?
- Kwa nini uzazi wangu mgumu?
- Kwa nini mikosi haiishi?
Maelezo ya Aina Hii ya Urogwaji
Hii ni aina ya uchawi ambayo humvurugia mtu mfumo wa maisha yake hasa mfumo wa mizunguko.
Mtu hushindwa kujishughulisha na maisha yake, anakosa motisha ya kufanya kazi na huishia kuwa mzigo kwa wengine.
Hata akijaribu kujishughulisha, hujikuta anapoteza muda kwenye mambo yasiyo na faida.
Soma pia: Aina ya Tatu ya Mtu Aliyerogwa
Dalili Zake
- Kukosa hamasa ya kufanya kazi
- Kujihisi mzigo kwa jamii
- Kuhisi watu wanakutenga
- Kujiona huna thamani
- Kupoteza muda kwenye mambo yasiyo na faida
- Kuwa na dalili za bawasiri au upepo wa tumbo
- Gesi tumboni zisizo za kawaida
- Kifua kubana
- Chunusi nyeusi au za kijivu
- Macho kuchoka muda wote
- Kupata nguvu kwenye mambo yasiyo na faida
- Kujihisi watu wanakuangalia sana
Tiba
Muhanga anahitaji matibabu ya kiroho maalum pamoja na msaada wa vifaa vya kiroho kama pete.
Baadhi ya hatua za kusaidia nafuu:
- Kutoa sadaka kulingana na maelekezo
- Kula sehemu ya sadaka kwa utaratibu maalum
- Kusaidia watu wenye uhitaji
Pia ni muhimu kupima afya ya mwili kwani hali hii inaweza kuhusiana na upungufu wa damu.
Dalili nyingine ni pamoja na kizunguzungu, mwili kuwasha usiku na matatizo ya hedhi kwa wanawake.
Matokeo
Baada ya matibabu sahihi, mtu hupata nguvu ya kujishughulisha, kurejesha maisha yake na kuanza kuona mafanikio.
Wasiliana nasi kwa msaada:
Chat WhatsApp: +255 788 485 293Email:
Rakims Spiritual
