Aina ya Kwanza ya Mtu Aliyerogwa: Dalili za Kijicho na Tiba Yake

Rakims
0

Hii ni sehemu ya mfululizo wa Aina za Urogwaji (Sehemu ya 1 kati ya 7). Soma makala zote ili kuelewa vizuri zaidi.

Aina ya Kwanza ya Mtu Aliyerogwa

Aina ya kwanza ya mtu aliyerogwa ni moja ya aina za urogwaji zinazoweza kuathiri maisha ya mtu kwa upande wa afya, pesa na mahusiano.

Unajiuliza:

  • Nitafahamu vipi kama nimerogwa?
  • Kwa nini mambo yangu hayaendi?
  • Kwa nini uzazi wangu mgumu?
  • Kwa nini mikosi haiishi?
Utangulizi
Hii ni aina ya uchawi ambayo humvurugia mtu mifumo ya maisha yake kwa namna mbalimbali na kuathiri mwenendo wake wa kila siku.

Mwenye kulogwa aina hii ya urogwaji huharibikiwa sehemu kuu nne katika maisha yake:

  1. Mfumo wa binafsi
  2. Mfumo wa pesa
  3. Mfumo mzima wa safari ya maisha
  4. Mfumo mzima wa nyota yake

Pale inapoharibika mifumo hii minne mtu hupoteza na kushindwa kufanikisha mambo mengi na kila akipanga jambo basi lazima huharibiwa na uchawi huu.

Dalili za Kurogwa Huku

dalili za kijicho (evil eye) kwa mtu aliyerogwa Tanzania
Kijicho (evil eye)

Kijicho ni ile hali ya mtu kumuangalia mtu vibaya na kumtamania jambo lake hadi likaanza kwenda vibaya.

Soma pia: Aina ya Nne ya Mtu Aliyerogwa

Dalili za Kijicho

  • Maumivu ya kichwa ya muda mrefu
  • Mwili kuwasha hovyo
  • Homa za ghafla
  • Moyo kwenda mbio bila sababu
  • Mwili kukauka

Tiba Yake

Ili kuondoa tatizo hili ni lazima kiumbe husika kiondolewe kabisa.

Vinginevyo kinaweza kuondoka na kurudi tena baada ya muda mfupi.

Wasiliana nasi kwa msaada:

Chat WhatsApp: +255 788 485 293

Chapisha Maoni

0Maoni

Chapisha Maoni (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Accept !