Kusomewa Karata na Uchambuzi wa Maisha | Rakims Spiritual

Rakims
0

Kusomewa Karata na Uchambuzi wa Maisha

Mwongozo wa huduma za uchambuzi binafsi na maelezo ya bei

Unahitaji uchambuzi wa maisha yako binafsi? Kupitia huduma za Rakims Spiritual, unaweza kupata muongozo kwa mambo mbalimbali ya maisha yako kwa njia ya nyota, karata, shikeli au kiganja.

Rakims Spiritual huduma za kusomewa karata na uchambuzi wa maisha
Rakims Spiritual
Huduma Zetu
Tutakuangalizia maisha yako kwa ujumla kupitia njia ya Nyota, Karata (Tarot Reading), Shikeli au Kiganja (Palmistry).

Na mengineyo ambayo utahitaji huenda hayajaorodheshwa hapa unaweza kuuliza:

  1. Bahati yako na mwili wako — 10,000/Tsh
  2. Kipato chako vyanzo vya pesa — 10,000/Tsh
  3. Mawasiliano yako, Ndugu zako na jamii — 10,000/Tsh
  4. Nyumba yako na Mizimu ya kwenu na mizani 2 — 15,000/Tsh
  5. Kizazi chako na Mali yako muongozo wa kupata — 15,000/Tsh
  6. Maradhi / Afya yako / Huduma yako — 10,000/Tsh
  7. Mahusiano / Ndoa yako — 20,000/Tsh
  8. Kama umelogwa, umefungwa, una majini, n.k — 10,000/Tsh
  9. Safari yako ya maisha na Sababu ya maisha — 30,000/Tsh
  10. Kazi yako na biashara yako — 10,000/Tsh
  11. Marafiki zako na Msaada wako — 10,000/Tsh
  12. Mambo ya kujitakia, Laana, Majini — 20,000/Tsh
  13. Kuchambuliwa taratibu za betting — 40,000/Tsh
  14. Maisha ya Yaliyopita, Yaliyopo na Yajayo — 50,000/Tsh

Mahali Ofisi Ilipo

Kwa msaada zaidi, karibu katika Ofisi zetu za Rakims Spiritual zilizopo:

Ilala, Bungoni karibu na Imperial Hotels and Apartments.

Dar Es Salaam, Tanzania.

Siku na Muda wa Kazi

Tupo kila siku za wiki.

Jumatatu - Ijumaa

Muda: 15:00 - 22:00

(Saa Tisa Kamili Jioni hadi Saa Nne).

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi:

Chat WhatsApp: +255 788 485 293

Rakims Spiritual.

Chapisha Maoni

0Maoni

Chapisha Maoni (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Accept !