Jinsi ya Kukuza Nywele Haraka Ndani ya Siku 7 (Njia Rahisi na Asilia)

Rakims
0

Jinsi ya Kukuza Nywele Haraka Ndani ya Siku 7

Katika makala hii utajifunza jinsi ya kukuza nywele zako haraka kwa kutumia njia rahisi za asili zinazoweza kusaidia kuimarisha afya ya nywele na kuongeza ukuaji wake.

kukuza nywele haraka

Watu wengi hujaribu kukuza nywele bila mafanikio na hujikuta wakikata tamaa. Ukweli ni kwamba, kwa mbinu sahihi na utunzaji mzuri, unaweza kuona mabadiliko ndani ya muda mfupi.

Vifaa Utakavyohitaji

  • Mafuta ya olive oil
  • Mafuta ya mchaichai au mkunazi
  • Kitana au chanuo

Hatua za Kufanya

  • Oga na acha nywele zako ziwe na unyevunyevu kidogo
  • Changanya mafuta ya olive oil na mchaichai au mkunazi
  • Pasha mafuta kidogo (yasichome ngozi)
  • Paka kichwani na uache kwa dakika 15
  • Tumia kitana kuchana nywele kuelekea upande unaotaka zikue
  • Rudia zoezi hili kila siku kwa siku 7

Ratiba ya Kufanya

  • Jumamosi – Saa 9 usiku
  • Jumapili – Saa 6 usiku
  • Jumatatu – Saa 3 usiku
  • Jumanne – Saa 7 usiku
  • Jumatano – Saa 4 usiku
  • Alhamisi – Saa 8 usiku
  • Ijumaa – Saa 5 usiku

Matokeo

matokeo ya kukuza nywele

Baada ya kufuata hatua hizi kwa siku saba, unaweza kuona mabadiliko katika uimara, ulaini na ukuaji wa nywele zako.

Ushauri Muhimu

  • Epuka kutumia kemikali kali mara kwa mara
  • Osha nywele zako vizuri kabla ya kuanza tiba
  • Kula lishe bora kwa afya ya nywele

Unahitaji ushauri zaidi?

Chat WhatsApp: +255 788 485 293

Soma pia: Makala zaidi za nywele

Chapisha Maoni

0Maoni

Chapisha Maoni (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Accept !