Kuielewa Pumzi Yako Katika Meditation
Hatua muhimu baada ya body scan kuelekea umakini wa ndani
Utangulizi
Baada ya kuuelewa mwili wako vizuri kupitia body scan na kufuata hatua zote za awali, hatua inayofuata ni kuielewa pumzi yako.
Pumzi ni moja kati ya vipengele muhimu sana katika meditation kwani ndiyo msingi wa umakini na utulivu wa akili.
Maelekezo Muhimu

Katika hatua hii, hutakiwi kuongoza pumzi yako wala kuhesabu pumzi. Unachotakiwa kufanya ni kuielewa pumzi yako jinsi ilivyo.
- Usibadilishe pumzi yako
- Usihesabu pumzi
- Usiilazimishe kuwa ndefu au fupi
Jinsi ya Kufanya Zoezi
Anza kwa kukaa katika mkao wa meditation kama ulivyojifunza hapo awali.
Elekeza umakini wako katika pumzi yako:
- Angalia pumzi inaingia wapi
- Angalia pumzi inatokea wapi
Usichunguze sana wala kuhoji, bali jihisi tu mzunguko wa pumzi yako.
Acha pumzi ifanye kazi yake ya kawaida bila kuingilia.
Tazama mwongozo huu wa vitendo ili kuelewa vizuri jinsi ya kufanya meditation yenye matokeo.
Tahadhari
Katika hatua hii:
- Usivute pumzi kwa nguvu
- Usijaribu kuibadilisha
- Usizungumze nayo kiakili
Lengo ni kuielewa pumzi yako kwa hali ya kawaida kabisa.
Muda wa Zoezi
Fanya zoezi hili kwa:
- Dakika 10 kwa siku
Baada ya hapo utaingia katika hatua inayofuata ya meditation ambayo ni kuangalia pumzi yako kwa undani zaidi.
Hitimisho
Kuielewa pumzi yako ni hatua muhimu sana katika safari ya meditation. Hii huongeza umakini na kukuleta karibu zaidi na hali ya utulivu wa ndani.
Unahitaji mwongozo binafsi wa meditation?
Chat WhatsApp: +255 788 485 293Shirikisha wengine 👇
Share WhatsAppRakims Spiritual