Jinsi ya Kutambua na Kujikinga na Uchawi Mwili
Dalili, sababu na njia za kujilinda kiroho
Hatua ya Kwanza: Tambua Chanzo
Kitu cha kwanza ni kujua kama kweli umeathiriwa na uchawi au laana. Jiulize kama kuna mtu mwenye sababu ya kukudhuru au anayetamani uharibikiwe.
Mara nyingi, uchawi hutokea kutoka kwa mtu anayekujua au mwenye uhusiano na wewe.
Aina za Athari
- Mapenzi ya kulazimishwa (Libwata)
- Nuksi na mikosi
- Hasira zisizo za kawaida
- Kukosa usingizi
- Njozi mbaya
Dalili za Kuathirika
- Kuumwa mara kwa mara bila sababu
- Kushindwa kufanikisha mambo hata ukiwa umejiandaa
- Mambo kuharibika ghafla
- Kukosa msaada au kuachwa na watu wa karibu
- Kukwama kwa safari au mipango muhimu
Tahadhari
Sio kila jambo baya ni uchawi. Kushuka na kupanda kwa maisha ni hali ya kawaida.
Njia za Kujikinga
1. Safisha Roho Yako
Anza kwa kujisafisha kiroho kwa maombi, imani na kujiepusha na mambo hasi.
2. Kujisafisha kwa Maji
Oga kwa kutumia maji yaliyochanganywa na rose water pamoja na majani ya asili kama zaituni au mkunazi.
- Chumvi ya mawe
- Karafuu
- Patchouli
- Habat nuksi
3. Nguvu ya Imani
Tembelea viongozi wa dini kama mashehe au mapadre kwa maombi na msaada wa kiroho kulingana na imani yako.
Hitimisho
Kujikinga na uchawi kunahitaji utulivu wa akili, imani na hatua sahihi.
Unahitaji msaada wa kiroho?
Chat WhatsApp: +255 788 485 293Email:
Rakims Spiritual