Nyota Iliyosawa
Jinsi ya kuelewa nyota ikiwa ipo juu, ipo chini au ipo sawa
Maana ya Nyota Iliyosawa
Ikiwa nyota yako ipo juu sana au chini sana, hali hiyo si nzuri kwa sababu inaweza kuleta madhara na maafa. Ndiyo maana unaweza kuona mtu mwingine kapandishwa nyota na amefanikiwa, lakini wewe ukapandishwa na usione mafanikio.
Hapo unaweza kufahamu kuwa huenda nyota yako tangu mwanzo ilikuwa juu, na ulichofanya ni kuizidishia mzigo tu.
Kwa hiyo nyota inatakiwa kuwa katika hali ya uwiano. Hiyo ndiyo hekima ya mizani za nyota. Watu wengi hawajui hilo, na badala yake wanahangaika tu kupandisha au kung’arisha nyota bila kuangalia hali yake halisi.
Ikiwa nyota yako ipo chini unahitaji msaada haraka iwezekanavyo, na hata ikiwa ipo juu pia ni tatizo. Kinachotakiwa ni nyota kuwa katika hali ya uwiano.
Kuelewa Hali ya Nyota
Wengine wanahitaji kushusha nyota ili iwe sawa. Kama umehangaika kusafisha nyota bila mafanikio, fahamu kuwa huenda nyota yako imezidi kipimo au ipo chini sana.
Nyota ya mtu haiwezi kuibiwa wala kuchukuliwa na mwingine. Kinachoweza kufanyika ni kuifunga, kuichafua au kuiloga. Bado nyota yako inabaki kuwa yako.
Inawezekana nyota yako kutumika na mtu mwingine, lakini hiyo si sawa na kusema imechukuliwa kabisa.
Makundi ya Nyota
Kuna nyota 12 katika mlolongo wa makundi ya nyota yanayojulikana kama zodiac signs. Nyota hizi kwa ujumla hugawanyika katika maada kuu nne:
- Moto
- Upepo
- Maji
- Udongo
Nyota 12 ni hizi:
- Aries (Fire)
- Taurus (Earth)
- Gemini (Air & Earth)
- Cancer (Water)
- Leo (Fire)
- Virgo (Earth & Fire)
- Libra (Air)
- Scorpio (Water & Fire)
- Sagittarius (Air & Fire)
- Capricorn (Earth)
- Aquarius (Air)
- Pisces (Water & Fire)
Nyota hizi zinaweza kuwa na maada moja au mbili. Ndiyo maana unaweza kukuta una dalili za maada mbili katika nyota yako.
Nyota ya Moto Ikiwa Imejaa
Nyota za moto zikiwa zimejaa, muhusika anaweza kuwa na hasira nyingi, kukosa subira, kujiumiza mara kwa mara, kujihisi kama ana shinikizo, na kuwa na hali ya joto la ndani au kuchemka mwilini.
Dalili nyingine zinaweza kuonekana kwenye moyo, vidonda vya tumbo na hali ya kukosa amani.
Vyakula vinavyopendekezwa:
- Nafaka
- Mboga za mizizi
Vyakula vya kupunguza:
- Vyakula vya viungo vingi
- Nyama nyekundu
Nyota ya Moto Ikiwa Chini
Ikiwa nyota ya moto ipo chini, mhusika anaweza kupata changamoto katika usagaji wa chakula, ufyonzaji wa lishe, na hali ya mwili kukosa nguvu ya kuchoma maradhi.
Vyakula vinavyopendekezwa:
- Limau
- Mtindi
- Mboga chungu
Vyakula vya kupunguza:
- Maziwa mengi
- Nyama nyingi
Nyota ya Maji Ikiwa Imezidi
Nyota ya maji ikizidi, mtu anaweza kuwa mzito kuelewa, kupata mafua ya mara kwa mara, uvimbe wa ndani au nje, pamoja na matatizo ya uzito na umaji mwilini.
Vyakula vinavyopendekezwa:
- Mboga za kuchemsha
- Maharage
- Matunda
Vyakula vya kupunguza:
- Vyakula vya mafuta
- Vitu vitamu
- Mikate mingi
- Chumvi nyingi
Nyota ya Maji Ikiwa Chini
Nyota ya maji ikiwa chini, mhusika anaweza kukosa uwezo wa kutoa sumu mwilini, kuwa na kiu sana hasa usiku, kuwa na ngozi na nywele kavu, pamoja na kukosa uchangamfu.
Vyakula vinavyopendekezwa:
- Ngano
- Wali
- Shairi
- Matango
- Matikiti maji
Vyakula vya kupunguza:
- Maharage
- Karoti
- Kabeji
- Figili
Nyota ya Udongo Zikizidi
Nyota za udongo zikizidi huleta uzito mkubwa mwilini na kufanya mambo ya mhusika kuwa mazito na magumu kufanikiwa.
Hali hii inaweza kuonekana kwa ngozi, uvimbe na mwili kuwa mzito au mgumu.
Vyakula vinavyopendekezwa:
- Fruit salad
- Mboga za kuchemsha
- Juisi
- Supu
- Chai
Vyakula vya kupunguza:
- Vyakula vizito
Nyota za Udongo Zikiwa Chini
Nyota za udongo zikiwa chini, mhusika anaweza kukosa moyo wa maisha, kuwa na hali ya kukata tamaa, na kutegemea watu wa karibu kumpa ulinzi wa kihisia.
Vyakula vinavyopendekezwa:
- Nyama
- Viazi
- Nafaka zisizosafishwa
- Maziwa
- Jibini
- Siagi
Vyakula vya kupunguza:
- Matunda mengi
- Vyakula vibichi
Nyota za Upepo Zikizidi
Nyota hizi zikizidi huleta akili zisizotulia, uchovu wa neva, ngozi kavu, nywele kubadilika rangi, mafua, kukosa usingizi na kupungua kwa kumbukumbu.
Vyakula vinavyopendekezwa:
- Mboga nyepesi za kuchemsha
- Karanga
Vyakula vya kupunguza:
- Vyakula visivyoiva vizuri
- Vyakula vichachu
- Miwa
Nyota za Upepo Zikiwa Chini
Nyota hizi zikiwa chini, mwili unaweza kushindwa kutengeneza nguvu vizuri na kusababisha shida kwenye mfumo wa upumuaji, upungufu wa nuru ya mwili na tatizo la kuchakata madini.
Vyakula vinavyopendekezwa:
- Pilipili
- Vitunguu swaumu
- Yoghurt
- Kefir
Hitimisho
Jambo muhimu ni kuelewa kuwa nyota inahitaji uwiano. Ikiwa ipo juu sana au chini sana, madhara yanaweza kujitokeza. Hivyo hatua ya kwanza ni kutambua hali ya nyota yako, kisha kufuata njia sahihi ya kuisawazisha.
Unataka msaada wa kuelewa hali ya nyota yako?
Chat WhatsApp: +255 788 485 293Email:
Rakims Spiritual
